Kuhusu Ushirikiano Group

Kuhusu sisi

Ushirikiano Group ni umoja wa watu mbalimbali wanaoishi
Dar-es-Salaam na nje ya Dar-es-salaam waliokubaliana kuunda umoja huu wenye madhumuni ya kusaidiana katika masuala mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na mengine mengi.Umoja huu uliundwa rasmi mwaka 2013

UJUMBE KUTOKA KWA MWENYEKITI UG DSM

ujumbe wa mwenyekiti

Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi Mungu  kwa nguvu na Baraka, nawashukuru viongozi wangu wastaafu yaani Ndugu Gambala Luchunga na John Mlyabope, viongozi na wanaumoja waliohudumu katika kamati mbalimbali za umoja wetu pamoja na wanaumoja wote wa USHIRIKIANO GROUP DSM.

Kama linavyosadifu, USHIRIKIANO ndio ulitofikisha hapa na hata mimi kuchaguliwa kuongoza tasisi yetu. Aksanteni sana kwa kuniamini!

Viongozi wetu

Kutana na Viongozi wetu