Kuhusu UG
kuhusu sisi
Ushirikiano Group ni umoja wa watu mbalimbali wanaoishi
Dar-es-Salaam na nje ya Dar-es-salaam waliokubaliana kuunda umoja huu wenye madhumuni ya kusaidiana katika masuala mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na mengine mengi.Umoja huu uliundwa rasmi mwaka 2013
Viongozi wetu
Kutana na Viongozi wetu
Mwenyekiti wa USHIRIKIANO group Dar es salaam
Katibu wa Ushirikiano group
Mwenyekiti wa Tehama
Mwenyekiti wa Jamii
Mwenyekiti wa Fedha




