Kuhusu UG

Kuhusu UG

kuhusu sisi
Ushirikiano Group ni umoja wa watu mbalimbali wanaoishi Dar-es-Salaam na nje ya Dar-es-salaam waliokubaliana kuunda umoja huu wenye madhumuni ya kusaidiana katika masuala mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na mengine mengi.Umoja huu uliundwa rasmi mwaka 2013

Viongozi wetu

Kutana na Viongozi wetu